Kurusha tangazo la Visit Profile
ili Upate New followers…halafu wanaoona tangazo lako ni wale waliokufollow Unapoteza Pesa

Hii ndio sababu wafanyabiashara wengi wanalalamika sponsored ads hazileti matokeo...sio kweli...audience yako ndiyo imechoka na tangazo lako halina ushawishi

🎯 Unataka followers wapya?

→ Nitaseti audience ya watu ambao hawajakufollow bado, wenye interest zinazofanana na biashara yako.


→ Nitaseti followers waliokufollow wasione tangazo lako la kupata new followers!

💰 Unataka wateja WhatsApp?

→ Nitaseti audience waone watu ambao tayari wamewahi ku-interact na page yako ya biashara ~ waliokufollow, walitembelea profile yako, waliolike, walicomment, waliokudm na kupotelea mitini, wote waliotazama video zako na wengine wanaofanana tabia na watu wanaokufuatilia!


→ Hao ndo watu wana asilimia kubwa kununua na wanaoweza kukutafuta WhatsApp kununua!

Tingting Audience Setup ni nini?

Tingting ni neno nililobuni ikimaanisha mlio wa sms ya muamala baada ya mteja kulipia!

Huduma ya Tingting Audience Setup inakusaidia kuhakikisha matangazo yako ya sponsored ads yanaonekana na watu wanaohitaji kile unachouza na kununua unachouza na sio kuonekana kwa yeyote ambaye hana interest na kile unachouza!

Gharama Ya Audience Setup

Tsh 150,000
  • Tangazo la mauzo Waone waliokufollow
  • Wanaolike na kucomment kwenye page yako
  • Waliotazama video zako za reels kwenye page yako
  • Waliowahi kutazama matangazo yako ya nyuma yaliyofanya vizuri
  • Wanaotembelea page yako kimyakimya
  • Waliowahi kusave au kushare posts zako
  • Waliowahi kukudm na kupotelea mitini
  • Kuzuia waliokufollow wasione tangazo ambao unataka upate followers wapya!
  • Utajifunza kutumia Meta business suite kurusha matangazo yako

Coach Amani Longishu ni nani?

Amani Longishu, ni mwalimu wa biashara kwenye mitandao ya kijamii na mtaalamu wa masoko mtandaoni tangu julai 2019.

Amewasaidia wafanyabiashara zaidi ya 1500+ kujibrand instagram, facebook, tiktok na Whatsapp na kupata wateja wanaonunua!

Pia ndio mtayarishaji na muongozaji wa Amani Business School Podcast inayotoa dondoo kuhusu biashara, uuzaji kwenye mitandao ya kijamii na namna ya kutumia mitandao ya kijamii kupata wateja na kujenga chapa.

Kabla Ya Kulipia
Tingting Audience Setup Tambua Yafuatayo

#1 - Lipa Kwa MPESA

LIPA NAMBA 35982856

Jina: AMANI ISAYA LONGISHU

Kiasi: Tsh 150,000

BAADA YA KULIPIA:
Tuma message Whatsapp +255 658 145 285 ya jina la muamala wako!

Kama Umeshalipia Kwa Lipa Namba
Tuma Uthibitisho Wa Muamala Hapa

#2 - Hamisha Kwenda Benki

NMB BANK

Account Namba: 23010007065

Jina La Akaunti: AMANI LONGISHU

Kiasi: Tsh 150,000

BAADA YA KULIPIA:
Tuma message Whatsapp +255 658 145 285 ya jina la muamala wako!

Kama Umehamisha Kwenda Benki
Tuma Uthibitisho Wa Muamala Hapa

This site is not a part of the Facebook website or Facebook Inc. Additionally, This site is NOT endorsed by Facebook in any way. FACEBOOK is a trademark or FACEBOOK, Inc.

Copyright @2025 Amani Longishu