Acha kupoteza Pesa Kwenye Sponsored Ads Tumia Tingting audience Setup Ya coach Amani!

Wafanyabiashara wengi wana tatizo la Audience Targeting na Ushawishi wa Tangazo kwa mteja.

Kuna tofauti kubwa kati ya mfanyabiashara anayetangaza kwa kubahatisha
na yule anayejua anachofanya.

Mfano Wa Kwanza

"We Are Open Open!! Njoo mnunueni jamani nisije nikafa na njaa! Tuma dm au piga simu"

Mfano Wa Pili

Kama unaenda kwenye interview wiki hii, haya ni mambo 3 ya kuzingatia kabla hujachagua nguo ya kuvaa

1️⃣ Tafiti dress code ya kampuni unayoenda, itakusaidia kuchagua mavazi sahihi.
2️⃣ Epuka nguo zinazokufanya ujisikie vibaya au usijiamini. Ukomavu huanza kwenye comfort.
3️⃣ Kama bado unachanganyikiwa kuhusu rangi, chagua neutral mfano kama kijivu, nyeusi au nyeupe. 

Ukiwa bado hujui shati gani utavaa kwa interview hiyo, nitumie DM nikushauri bure, na nitakuchagulia mashati mazuri yanayopatikana dukani kwetu!

Imagine….
Kama Wewe ni mtu unayejiandaa na interview,  ukaingia Instagram ukakutana na matangazo hayo mawili yote kutoka kwa wauzaji wa mashati.


Ni yupi ungetamani kununua kwake? JIBU UNALOO!

Hivyo basi  inabidi ujue watu hawafuati matangazo wanafuata content zinazoongea na wao na kugusa hisia, changamoto na maumivu yao na kukuona wewe ndio mtatauzi!


Ndiyo maana tangazo lenye ujumbe sahihi + Right Audience Setup huleta Mauzo na Wateja Walionyooka na wanaojua wanachotaka! 

Tingting Audience Setup

Tingting ni neno nililobuni ikimaanisha mlio wa sms ya muamala baada ya mteja kulipia, kwahiyo Huduma ya “Tingting Audience Setup” inakusaidia kuhakikisha matangazo yako ya sponsored ads yanaonekana na watu wanaohitaji kile unachouza na kununua unachouza na sio kuonekana kwa yeyote ambaye hana interest na kile unachouza!

Kwa mfano:

Tangazo lako la “mashati ya interview” linaweza kuonekana kwa watu wanaotafuta kazi, interviews, office wear, na wanaishi kwenye maeneo yenye nguvu ya kufanya manunuzi kama Dar es salaam, Arusha, Mwanza, Dodoma

Nitakuandalia audience setup iliyo sahihi kwa bidhaa zako,
ili ujumbe wako kama ule wa mfano wa pili uwe unafika kwa watu sahihi wanaoweza kununua!

Unahitaji Setup Ipi Ya Audience?

Audience Setup Vol 1 Inamfaa Nani?

Kama page yako ni mpya na ndio umeanza kufanya matangazo ya Sponsored Ads Instagram na Facebook, setup volume 1 inakufaa sana. Itakusaidia pia kukuza page yako kwa kupata followers wenye interest na bidhaa yako na wateja wa kile unachokiuza!

Audience Setup Vol 2 Inamfaa Nani?

Kama page yako ni kubwa tayari na wewe unajua kurusha sponsored kawaida, Setup volume 2 itakufaa kwasababu asilimia kubwa matangazo yatonekana kwa watu ambao wamesha-interact na page yako ya biashara na asilimia kadhaa ya watu wapya ya watu wenye tabia na interest kama followers wako au watu wanaofuatilia page yako!

Amani Longishu ni nani?

Amani Longishu, ni mwalimu wa biashara kwenye mitandao ya kijamii na mtaalamu wa masoko mtandaoni tangu julai 2019.

Amewasaidia wafanyabiashara zaidi ya 1500+ kujibrand instagram, facebook, tiktok na Whatsapp na kupata wateja wanaonunua!

Pia ndio mtayarishaji na muongozaji wa Amani Business School Podcast inayotoa dondoo kuhusu biashara, uuzaji kwenye mitandao ya kijamii na namna ya kutumia mitandao ya kijamii kupata wateja na kujenga chapa.

Kabla Ya Kulipia
Tingting Audience Setup Tambua Yafuatayo

#1 - Lipa Kwa MPESA

LIPA NAMBA 35982856

Jina: AMANI ISAYA LONGISHU

Kiasi: Tsh 75,000 kwa Volume 1

au

Tsh 150,000 kwa volume 2

BAADA YA KULIPIA:
Tuma message Whatsapp +255 658 145 285 ya jina la muamala wako!

Kama Umeshalipia Kwa Lipa Namba
Tuma Uthibitisho Wa Muamala Hapa

#2 - Hamisha Kwenda Benki

NMB BANK

Account Namba: 23010007065

Jina La Akaunti: AMANI LONGISHU

Kiasi: Tsh 75,000 kwa Volume 1

au

Tsh 150,000 kwa volume 2

BAADA YA KULIPIA:
Tuma message Whatsapp +255 658 145 285 ya jina la muamala wako!

Kama Umehamisha Kwenda Benki
Tuma Uthibitisho Wa Muamala Hapa

This site is not a part of the Facebook website or Facebook Inc. Additionally, This site is NOT endorsed by Facebook in any way. FACEBOOK is a trademark or FACEBOOK, Inc.

Copyright @2025 Amani Longishu