Amani Longishu

Mwalimu wa Biashara Na Mtaalamu wa Masoko Mtandaoni

COACH AMANI ANASAIDIA
WAFANYABIASHARA GANI?

wALIoleta biashara zao mtandaoni hivi karibuni

Nitakufundisha vizuri utajua kujibrand Instagram, Facebook, Tiktok na Whatsapp hadi kupata wateja kila siku kupitia kozi ya Uza Deilee

WANAOrusha sponsored ads ila hawapati matokeo

Nitakusaidia kuseti audieence nzuri, ushauri wa bajeti na tangazo zuri la kukuletea wateja kupitia sponsored ads kupitia huduma ya Tingting Audience Setup.

wasiojua kabisa kujitangaza kupitia Sponsored ads

Nitakufundisha kurusha Sponsored Ads Instagram, Facebook, Tiktok na Whatsapp Business

wasio muda na social media ambao wanahitaji msaidizi

Nitakusaidia kusimamia ukurasa wako wa Instagram, Facebook na Tiktok kwa mwezi, miezi au mwaka, huku wewe unaendelea na mambo mengine kwenye biashara yako

jifunze zaidi kwenye

aMANI BUSINESS SCHOOL PODCAST

Zaidi ya audio episode 110 zitakupa dondoo za biashara, muongozo wa uuzaji kwenye mitandao ya kijamii na Updates mpya. Nitazingatia zaidi jinsi ya kukua kwenye Instagram, Facebook, TikTok, na majukwaa yoyote yanayoibuka ili kukuza chapa yako na Biashara.

Follow usipitwe!

amani longishu

Zaidi ya video 50 zitakupa dondoo za biashara, muongozo wa uuzaji kwenye mitandao ya kijamii na Updates mpya. Nitazingatia zaidi jinsi ya kukua kwenye Instagram, Facebook, TikTok, na majukwaa yoyote yanayoibuka ili kukuza chapa yako na Biashara.

Subscribe usipitwe!