Hawa ni baadhi ya wafanyabiashara na biashara ambazo nimewahi kufanya nazo kazi katika masuala ya social media marketing, sponsored ads, na ushauri wa biashara mtandaoni
Stey Skincare
Ngosha Herbs
EnzoKenzo
Poshdoll Boutique
Jojomak Hairtress
Kidwonder Store
Iphone Bestpoint
Dynamite Cosmetics
04.
Haya tuongee biashara, sihitaji konakona!
Je Unahitaji Tuonane Nikufundishe na Kukupa Ushauri Wa Biashara Yako mtandaoni?