jinsi ya kurusha sponsored ads upate wateja

Sponsored Ads ni matangazo ya kulipia ambayo wewe kama mfanyabiashara unalipia ili mtandao husika waonyeshe post yako kwa watu wengi  mtandaoni na waishie kukutafuta whatsapp wanunue unachouza au upate followers!

Kupitia ebook hii ndio utajifunza jinsi ya kulipia na kuyarusha mwenyewe kwenye page yako Instagram, Facebook na Tiktok!

Utajifunza nini kwenye ebook hii?

Vingine ambavyo ni bonasi

Amani Longishu ni nani?

Amani Longishu, ni mwalimu wa biashara kwenye mitandao ya kijamii na mtaalamu wa masoko mtandaoni tangu julai 2019.

Amewasaidia wafanyabiashara zaidi ya 1500+ kujibrand instagram, facebook, tiktok na Whatsapp na kupata wateja wanaonunua!

Pia ndio mtayarishaji na muongozaji wa Amani Business School Podcast inayotoa dondoo kuhusu biashara, uuzaji kwenye mitandao ya kijamii na namna ya kutumia mitandao ya kijamii kupata wateja na kujenga chapa.

Jinsi Ya Kulipia Ebook

Kitabu hiki ni softcopy na ni Tsh 15,000 tuu

#1 - Lipa Kwa MPESA

LIPA NAMBA 35982856

Jina: AMANI ISAYA LONGISHU

Kiasi: Tsh 15,000

BAADA YA KULIPIA:
Tuma message Whatsapp +255 658 145 285 ya jina la muamala wako!

Kama Umeshalipia Kwa Lipa Namba
Tuma Uthibitisho Wa Muamala Hapa

#2 - Hamisha Kwenda Benki

NMB BANK

Account Namba: 23010007065

Jina La Akaunti: AMANI LONGISHU

Kiasi: Tsh 15,000

BAADA YA KULIPIA:
Tuma message Whatsapp +255 658 145 285 ya jina la muamala wako!

Kama Umehamisha Kwenda Benki
Tuma Uthibitisho Wa Muamala Hapa

Maswali Na Majibu Kuhusu Ebook hii

Kitabu ni softcopy kwahiyo nakutumia kwa whatsapp baada ya kufanya malipo!

Ndio nakutumia tena kwa njia ya whatsapp au email!

Ndio ukikwama mahali unaweza kuuliza swali na mimi coach wako nitakujibu na kukuelekeza tena!

Tsh 15,000 tuu na unalipia kwa mpesa lipa no 35982856 baada ya hapo tuma muamala wako whatsapp 0658145285 nikutumie kitabu chako!

This site is not a part of the Facebook website or Facebook Inc. Additionally, This site is NOT endorsed by Facebook in any way. FACEBOOK is a trademark or FACEBOOK, Inc.

Copyright @2025 Amani Longishu