Je Unahitaji
Consultation Ana Kwa Ana
Jinsi Ya Kurusha Sponsored Ads
Na mbinu za kupata wateja kila siku Instagram, Facebook Na Tiktok?







Book Session Ya Masaa 2 Utajifunze:
- Kurusha Sponsored Ads Instagram
- Kurusha Sponsored Ads Tiktok
- Kurusha Sponsored Ads Facebook
- Kurusha Sponsored Ads Whatsapp
- Mbinu Za Kupata Wateja Kila Siku Online
Shuhuda Za Waliofaidika
Unahitaji Nini Kabla Ya
Kuja Ofisini Kwangu Kujifunza
- Niandalie password zako za Instagram, Facebook na Tiktok ili tusipotezeane muda!
- Njoo na notebook ya kuandika vitu utakavyojifunza sio unakuja mikono mitupu
- Malipo ya Tsh 150,000/= kwa ajili ya mafunzo na ushauri kutoka kwa mwalimu
- Kutenga Masaa 2 Kwa ajili ya kujifunza na kupata ushauri
Maswali Na Majibu Kuhusu Consultation
Ofisi yangu ipo Mwenge karibu na chuo cha Kilimanjaro Institute, ukirequest andika Optiza Digital , kumbuka usije ofisini bila appointment!
Masaa 2
Unalipia Tsh 150,000/= kabla ili kuconfirm tarehe, siku ya kuja ofisini kupata mafunzo
Lipa Kwa MPESA
Lipa Namba 353574117
Jina: OPTIZA DIGITAL
Kiasi: Tsh 150,000
BAADA YA KULIPIA:
Tuma uthibitisho wa malipo Whatsapp +255 658 145 285

