Author: Amani Longishu
-

-

Jinsi Ya Kupata Followers Wengi Mtandaoni kwa Biashara Ndogo Tanzania
Kwa wafanyabiashara wadogo Tanzania, kujua jinsi ya kupata followers wengi mtandaoni ni jambo la msingi katika uuzaji wa kidigitali. Followers si tu alama za umaarufu, bali ni wateja watarajiwa na mabalozi wa biashara yako. Kwa mujibu wa DataReportal 2024, zaidi ya milioni 5.65 ya Watanzania hutumia mitandao ya kijamii , Kwa hiyo, iwapo unauza bidhaa…