Skip to content

Amani Longishu Podcast

Episodes 118 za Kiswahili kuhusu biashara, sponsored ads na kupata wateja mtandaoni. Sikiliza hapa hapa kwenye site, popote ulipo.

Episodes zote

Amani Longishu Podcast
Sasa unasikilizaMambo 6 Yanayo Fukuza WATEJA wako
Episodes 118
  1. Mambo 6 Yanayo Fukuza WATEJA wako

    Naitwa Coach Amani...Nafundisha kutumia Mitandao kupata wateja kupitia Matangazo ya kulipia ~ Sponsored Ads Instagram, Facebook na TikTok ..1️⃣Kozi ya Online UZA DEILEE Ada ni 60,000/=…

    7 Aprili 2026 · 00:04:12
  2. Mbinu Za Kugeuza Followers Kuwa Wateja

    Naitwa Coach Amani Longishu...Nafundisha kutumia Mitandao kupata wateja kupitia Matangazo ya kulipia ~ Sponsored Ads Instagram, Facebook na TikTok ...1️⃣Kozi ya Online UZA DEILEE Ada ni…

    7 Aprili 2026 · 00:04:25
  3. Jinsi Ya Kutambulisha Biashara Yako Instagram

    1⃣Kozi ya Online UZA DEILEE Ada ni 60,000/= Soma maelezo👇🏾 https://amanilongishu.co.tz/uzadeilee 2⃣Mafunzo + Ushauri ANA KWA ANA ni Tsh 120,000 Fungua link usome maelezo👇🏾 https://amanilongishu.co.tz/booking

    4 Aprili 2026 · 00:05:57
  4. #116: MBINU 7 Za Kupata WATEJA WENGI Msimu Wa CHRISTMAS

    Katika Episode hii nimezungumzia mbinu 7 za kupata wateja wengi msimu wa sikukuu za Christmas na Mwaka Mpya! 1️⃣Kujiunga kozi ya UZA DEILEE ujifunze kufanya biashara…

    23 Novemba 2025 · 00:04:38
  5. #115: BIASHARA 20 ZA Kuvutia WATEJA WENGI Wanawake Tanzania Na Nchi Jirani

    Ndani Ya Episode hii nimezungumzia Biashara 20 Za Kuvutia Wateja Wengi Wanawake Tanzania Na Nchi JiraniInstagram;https://www.instagram.com/amanilongishu/Tiktok;https://www.tiktok.com/@amanilongishu Coach Amani Longishu,Amani Longishu - Online Business CoachBiashara zenye faida,…

    22 Agosti 2025 · 00:07:00
  6. #114: BIASHARA 5 Zenye FAIDA Kwa Wadada

    Episode hii nimezungumzia Biashara 5 Zenye Faida kwa WadadaInstagram;https://www.instagram.com/amanilongishu/Tiktok;https://www.tiktok.com/@amanilongishu Coach Amani Longishu,Amani Longishu, Biashara zenye faida, biashara za mtaji mdogo, biashara za faida kubwa, Biashara Za…

    22 Julai 2025 · 00:05:36
  7. #113: Biashara 6 Za Kuanza Ukiwa Nyumbani

    Episode hii nimezungumzia Biashara 6 Za Kufanya Ukiwa Nyumbani Instagram;https://www.instagram.com/amanilongishu/Tiktok;https://www.tiktok.com/@amanilongishu Coach Amani Longishu,Amani Longishu, Biashara zenye faida, faida kubwa, biashara za mtaji mdogo, biashara za faida…

    20 Julai 2025 · 00:07:11
  8. #112: BIASHARA 15 Zenye FAIDA NDOGO Ila Zinauza Kila Siku

    Episode hii nimezungumzia Biashara 15 Zenye Faida Ndogo Ila Zinauza Kila Siku Tanzania Instagram;https://www.instagram.com/amanilongishu/Tiktok;https://www.tiktok.com/@amanilongishu Coach Amani Longishu,Amani Longishu, Biashara zenye faida, faida ndogo, biashara za mtaji…

    18 Julai 2025 · 00:31:29
  9. #111: Biashara 30 Zenye Faida KUBWA ila Haziuzi Kila Siku Tanzania

    Kwenye episode hii nimezungumzia Biashara 30 Zenye Faida Kubwa Ila Haziuzi Kila Siku TanzaniaNiulize Swali Instagram👇🏾https://www.instagram.com/amanilongishu/Tiktok;https://www.tiktok.com/@amanilongishu Coach Amani Longishu,Amani Longishu, How to start a business, business…

    14 Julai 2025 · 00:33:15
  10. #110: VITU 10 Hujaambiwa Kwenye Kuanza BIASHARA

    Kwenye Episode hii nimezungumzia Vitu 10 Hujaambiwa Kuhusu Kuanza Business ambavyo wengi walikuficha! Instagram;https://www.instagram.com/amanilongishu/Tiktok;https://www.tiktok.com/@amanilongishu Coach Amani Longishu,Amani Longishu, Jinsi ya Kuanza Biashara 2025, Kuanza Biashara Mtandaoni,…

    4 Julai 2025 · 00:04:01
  11. #109: Njia 10 Za Kupata WATEJA Bila Kutegemea Whatsapp Status

    Unahitaji nikufundishe Kwa Kina? Anza Leo Kozi Ya Uza Deilee!! https://amanilongishu.com/uzadeilee

    20 Januari 2025 · 00:08:13
  12. #108: Njia 5 Za Kupata WATEJA Bila Kusubiri Bidhaa IJIUZE YENYEWE

    https://amanilongishu.com/uzadeilee

    20 Januari 2025 · 00:07:57
  13. #107: MBINU 4 Za Kuongeza COMMITMENT Ili Wanunue Kwako

    Kama Unahitaji Kujiunga na Kozi ya Uza Deilee tumia link hii👇🏾 https://amanilongishu.com/uzadeilee

    20 Januari 2025 · 00:06:16
  14. #106: Sababu 2 Kwanini Unakosa MAUZO

    Anza Leo Kozi Ya UZA DEILEE hapa👇🏼 https://www.amanilongishu.com/uzadeilee

    24 Novemba 2024 · 00:06:47
  15. #105: Mambo 7 Mfanyabiashara Anayekaribia Kujifungua Anatakiwa Ayafanye

    Anza Leo Kozi Ya UZA DEILEE hapa👇🏼 https://www.amanilongishu.com/uzadeilee

    24 Novemba 2024 · 00:08:27
  16. #104: Mbinu 4 Za Kuuza Bei Chee Bila Kuingia Hasara Kubwa

    Anza Leo Kozi Ya UZA DEILEE hapa👇🏼 https://www.amanilongishu.com/uzadeilee

    24 Novemba 2024 · 00:05:25
  17. #103: Njia 6 Za Kujitofautisha Na Mshindani Wako Kibiashara

    Umeshaanza Kozi Au Nikuache? Anza Hapa⤵️ https://optiza.co.tz/uzadeilee/

    3 Septemba 2024 · 00:09:09
  18. #102: Vitu 5 Vya Kuzingatia Unapopanga BEI

    https://optiza.co.tz/uzadeilee/

    2 Septemba 2024 · 00:06:24
  19. #101: Njia 5 Za Kuonyesha SURA Yako Mtandaoni

    Umeshaanza kozi? Anza hapa⤵️ https://optiza.co.tz/uzadeilee/

    1 Septemba 2024 · 00:07:27
  20. #100: Aina 7 Ya Picha Muhimu Kwa Muuza Bidhaa Mtandaoni

    Umeshaanza Kozi? Bonyeza Hapa⤵️ https://optiza.co.tz/uzadeilee/

    31 Agosti 2024 · 00:08:03
  21. #99: Mbinu 4 Za Kuuza Bidhaa Iliyododa Dukani

    Je Unatamani kujiunga Kozi Ya Uza Deilee? Bonyeza hapa⤵️ https://optiza.co.tz/uzadeilee/

    29 Agosti 2024 · 00:06:40
  22. #98: Mbinu 5 Za Kupunguza Kukopesha Bidhaa Zako

    Share episode hii na mwingine

    31 Julai 2024 · 00:07:54
  23. #97: Sababu 10 Kwanini Hawanunui Bidhaa Zako

    Kozi Ya Uza Deilee👇🏿 https://mjasiriamalidigital.com/watejadeilee/

    24 Julai 2024 · 00:09:42
  24. #96: Jinsi Ya Kufikia Lengo Lako La Mauzo Ya Mwezi

    Anza Kozi Hapa👇🏿 https://www.mjasiriamalidigital.com/watejadeilee/

    24 Julai 2024 · 00:03:20
  25. #95: BIASHARA YAKO Inaenda Polepole? Fanya Haya 5 Upate WATEJA WENGI

    Jiunge kozi Ya Wateja Deilee hapa👇🏽 https://www.mjasiriamalidigital.com/watejadeilee/

    17 Julai 2024 · 00:06:59
  26. #94: NJIA 4 Za Kuongeza MAUZO kwenye Biashara Yako

    Jiunge kozi Ya Wateja Deilee hapa👇🏽 https://www.mjasiriamalidigital.com/watejadeilee/

    11 Julai 2024 · 00:05:02
  27. #93: Mambo 8 UNAHITAJI Kuanza BIASHARA Mtandaoni

    Jiunge kozi Ya Wateja Deilee hapa👇🏽 https://www.mjasiriamalidigital.com/watejadeilee/

    6 Julai 2024 · 00:09:02
  28. #92: Njia 6 Za KUPATA FOLLOWERS Instagram 2024

    Jiunge kozi Ya Wateja Deilee hapa👇🏽 https://www.mjasiriamalidigital.com/watejadeilee/

    30 Juni 2024 · 00:05:39
  29. #91: Njia 4 Za Kupata REFERRALS Za WATEJA Wako

    Jiunge kozi Ya Wateja Deilee hapa👇🏽 https://www.mjasiriamalidigital.com/watejadeilee/

    29 Juni 2024 · 00:05:49
  30. #90: Njia 3 Za Kuingiza KIPATO kwenye Biashara Hiyo Hiyo Unayofanya

    Jiunge kozi ya kupata wateja wengi hapa👇🏽 https://www.mjasiriamalidigital.com/watejadeilee/

    22 Juni 2024 · 00:07:09
  31. #89: Tumia Features Hizi INSTAGRAM Utapata Wateja Wengi

    Jiunge kozi ya kupata wateja wengi hapa👇🏽 https://www.mjasiriamalidigital.com/watejadeilee/

    20 Juni 2024 · 00:05:36
  32. #88: Jinsi Ya Kutambulisha Biashara Mtandaoni | Hatua 6 Muhimu Ili Kupata Wateja Wengi Zaidi

    Jiunge kozi ya kupata wateja wengi hapa👇🏽 https://www.mjasiriamalidigital.com/watejadeilee/

    6 Juni 2024 · 00:08:02
  33. #87: Aina 5 Ya BIDHAA ZA KUUZA MTANDAONI

    Jiunge kozi ya kupata wateja wengi hapa👇🏽 https://www.mjasiriamalidigital.com/watejadeilee/

    29 Mei 2024 · 00:10:13
  34. #86: Hatua 4 Za KUANZA BIASHARA Mtandaoni Hadi Kupata Wateja Wengi

    Jiunge kozi ya kupata wateja wengi hapa👇🏽 https://www.mjasiriamalidigital.com/watejadeilee/

    27 Mei 2024 · 00:15:52
  35. #85: Mambo 6 Yanayo KUNYIMA KUPATA WATEJA Wengi Mtandaoni

    Jiunge kozi ya kupata wateja wengi hapa👇🏽 https://www.mjasiriamalidigital.com/watejadeilee/

    27 Mei 2024 · 00:11:09
  36. #84: Mikakati 2 Ya KUNASA WATEJA Kila Siku Mtandaoni

    Jiunge kozi ya kupata wateja wengi hapa👇🏽 https://www.mjasiriamalidigital.com/watejadeilee/

    26 Mei 2024 · 00:12:47
  37. #83: Mitandao 4 Ya KUPATA WATEJA WENGI Tanzania Na Nchi Jirani

    Jiunge kozi ya kupata wateja wengi hapa👇🏽 https://www.mjasiriamalidigital.com/watejadeilee/

    26 Mei 2024 · 00:29:09
  38. #82: Njia 6 Za Kupata SHUHUDA & FEEDBACKS ZA WATEJA Wako

    Jiunge kozi ya kupata wateja wengi hapa👇🏽 https://www.mjasiriamalidigital.com/watejadeilee/

    22 Mei 2024 · 00:11:31
  39. #81: Njia 5 Za KUJITANGAZA Bila SPONSORED ADS

    Jiunge kozi ya kupata wateja wengi hapa👇🏽 https://www.mjasiriamalidigital.com/watejadeilee/

    18 Mei 2024 · 00:04:39
  40. #80: Hujisikii KUPOST Chochote Online! Fanya Haya!

    Kwenya Episode hii utajifunza Mambo ya Kufanya Ikiwa Hujisikii Kupost Chochote Online! Jiunge kozi ya kupata wateja wengi hapa https://www.mjasiriamalidigital.com/watejadeilee/

    15 Mei 2024 · 00:03:23
  41. #79: Fanya Haya Tangazo La Sponsored Likiwa Approved

    Kwenye Episode hii utajifunza Vitu vya Kufanya Tangazo La Sponsored Likiwa Approved!! Jiunge kozi ya kupata wateja wengi hapa https://www.mjasiriamalidigital.com/watejadeilee/

    15 Mei 2024 · 00:01:45
  42. #78: Jinsi Ya Kukuza Biashara Yako INSTAGRAM

    Video hii inakupa mbinu 6 za Jinsi ya Kukuza Biashara Instagram. Jifunze hatua muhimu za kufanikiwa katika kuuza instagram na kufikia wateja wapya! Jiunge kozi ya…

    25 Aprili 2024 · 00:13:08
  43. #77: Mbinu 6 Za Kukuza Biashara Facebook

    Episode hii inakupa mbinu za jinsi ya kukuza biashara facebook. Jifunze hatua muhimu za kufanikiwa katika kuuza facebook na kufikia wateja wapya! Jiunge kozi ya kupata…

    24 Aprili 2024 · 00:11:45
  44. #76: Jinsi Ya Kukuza Biashara TIKTOK

    Episode hii inakupa mbinu za Jinsi Ya Kukuza Biashara Tiktok. Jifunze hatua muhimu za kufanikiwa katika uuzaji tiktok na kufikia wateja wapya! Jiunge kozi ya Kupata…

    23 Aprili 2024 · 00:09:52
  45. #75: Mbinu 9 Za KUKUZA Biashara Yako Mtandaoni

    Ndani ya episode hii inakupa mbinu za jinsi ya kukuza biashara yako mtandaoni. Jifunze hatua muhimu za kufanikiwa katika uuzaji mtandaoni na kufikia wateja wapya! Jiunge…

    21 Aprili 2024 · 00:10:08
  46. #74: Mbinu 9 Za Kukuza Biashara Online & Offline 2024

    Kwenye Episode hii iitakupa mbinu za Jinsi ya Kukuza Biashara Online na Offline. Jifunze hatua muhimu za kufanikiwa katika kuuza instagram na kufikia wateja wapya! Jiunge…

    15 Aprili 2024 · 00:16:03
  47. #73: Mambo Ya Kufanya ili UIBE Wateja Wa Mshindani Wako

    Mambo ya kufanya ili UIBE WATEJA wa Mshindani wako! Nifuatilie Instagram: https://instagram.com/amanilongishu Mjasiriamali Digital Podcast Episode 73

    22 Januari 2024 · 00:04:56
  48. #72: Mambo Yanayo Kunyima KUAMINIKA INSTAGRAM

    Mambo yanayo kunyima kuaminika Instagram kwa wewe unayefanya BIASHARA Anza kozi hapa https://selar.co/m/amanilongishu Nifuatilie Instagram: https://instagram.com/amanilongishu Amani Longishu Show Episode 72

    22 Novemba 2023 · 00:02:37
  49. #71: Unahisi Upweke Kwenye BIASHARA YAKO? Fanya Haya!

    Mambo 8 Ya Kufanya Ukihisi UPWEKE kwenye BIASHARA YAKO! Anza kozi hapa https://selar.co/m/amanilongishu Nifuatilie Instagram: https://instagram.com/amanilongishu Tiktok https://tiktok.com/@amanilongishu Amani Longishu Show Episode 71

    21 Novemba 2023 · 00:03:27
  50. #70: Vitabu 3 Muhimu Kusoma Mfanyabiashara

    Nimezungumzia Vitabu 3 Muhimu Kusoma Kwa Mfanyabiashara ambavyo ni; 1. Hatua 6 Za Kujiajiri - Joel Nanauka 2. Ongeza Kipato Chako - Joel Nanauka 3. Msaada…

    20 Oktoba 2023 · 00:07:09
  51. #69: Vitu 5 Vya Kufanya Kabla Ya Kununua SIMU Facebook Marketplace

    Nimezungumzia vitu 5 vya kufanya Kama Unataka Kununua Simu Facebook Marketplace Anza kozi hapa https://selar.co/m/amanilongishu Nifuatilie Instagram: https://instagram.com/amanilongishushow Amani Longishu Show Episode 69

    15 Oktoba 2023 · 00:03:54
  52. #68: Vitu 5 Vya Kuwa Navyo Ili Upige PICHA nzuri za Bidhaa Zako

    Nimezungumzia vitu 5 vya kuwa navyo ili upige Picha Nzuri za Bidhaa Kununua Ebook Ya PESAGRAM - Njia 50 Za Kutengeneza Pesa Instagram, bofya https://selar.co/pesagram Anza…

    7 Oktoba 2023 · 00:06:04
  53. #67: Bidhaa Zinazokubaliwa Facebook Marketplace

    Nimezungumzia BIDHAA zinazokubaliwa / kukataliwa Facebook Marketplace Kununua Ebook Ya PESAGRAM - Njia 50 Za Kutengeneza Pesa Instagram, bofya https://selar.co/pesagram Anza kozi hapa https://selar.co/m/amanilongishu Nifuatilie Instagram:…

    6 Oktoba 2023 · 00:04:44
  54. #66: Jinsi Ya Kuweka BIDHAA Yako Facebook Marketplace

    Nimezungumzia Jinsi Ya Kuweka Bidhaa Facebook Marketplace Kununua Ebook Ya PESAGRAM - Njia 50 Za Kutengeneza Pesa Instagram, bofya https://selar.co/pesagram Anza kozi hapa https://selar.co/m/amanilongishu Nifuatilie Instagram:…

    3 Oktoba 2023 · 00:04:06
  55. #65: Idea 3 Za Instagram Collaboration Kwa Wafanyabiashara

    Kwenye Episode hii nimekupa ideas 3 za collabo za instagram kwa wafanyabiashara wa Tanzania Kununua Ebook Ya PESAGRAM - Njia 50 Za Kutengeneza Pesa Instagram, bofya…

    29 Septemba 2023 · 00:04:04
  56. #64: Njia 5 Za Kufanya Wateja Wa Maana Wakulipe Tena

    Kwenye Episode hii nimeelezea Njia 5 Za Kufanya Wateja Wa Maana Wakulipe Wewe! Kununua Ebook Ya PESAGRAM - Njia 50 Za Kutengeneza Pesa Instagram, bofya https://selar.co/pesagram…

    27 Septemba 2023 · 00:05:03
  57. #63: Njia 5 Nyingine Za Kutengeneza PESA Kwenye BIASHARA Yako

    Je wewe ni mfanyabiashara na umekuwa ukijiuliza ni njia gani nyingine unaweza tumia kutengenza pesa? Hizi hapa Njia 5 za Kutengeneza Pesa kwenye Biashara Yako Kununua…

    21 Septemba 2023 · 00:04:12
  58. #62: Usiandike INSTAGRAM BIO kama Diamond Platnumz | Ondoa hivi Fastaa!

    Usiandike Bio Yako Kama Diamond Platnumz, Andika Hivi! Anza kozi ya Miliki Insta Yako + Reels Academy hapa: https://selar.co/m/digitoskool Kununua Ebook Ya PESAGRAM - Njia 50…

    20 Septemba 2023 · 00:02:29
  59. #61: Sina Duka! NIPOST nini Instagram?

    Ndani ya Episode hii nimekupa mambo ya kufanya na kupost instagram ikiwa hauna Duka! Anza kozi hapa https://selar.co/m/digitoskool Kununua Ebook Ya PESAGRAM - Njia 50 Za…

    18 Septemba 2023 · 00:09:22
  60. #60: Aina 3 Ya WATU Utakutana Nao Mtandaoni

    Ndani ya Episode hii nimelezea Aina tatu(3) ya watu mtandaoni Anza kozi hapa https://selar.co/m/digitoskool Kununua Ebook Ya PESAGRAM - Njia 50 Za Kutengeneza Pesa Instagram, bofya👇🏼…

    10 Septemba 2023 · 00:10:48
  61. #59: Sababu Kwanini Ulinunua BIDHAA Baada Ya Rafiki Yako Kukwambia

    Ndani ya Episode hii nimelezea Sababu Kwanini Ulinunua ile Bidhaa Baada Ya Rafiki Kukwambia Anza kozi hapa https://selar.co/m/digitoskool Kununua Ebook Ya PESAGRAM - Njia 50 Za…

    7 Septemba 2023 · 00:06:11
  62. #58: Njia Za Kuwafanya Wateja Wapya Wakuone Instagram

    Ndani ya Episode hii nimelezea Njia 5 Za Kufanya Wateja Wapya Wakuone Mtandaoni Anza kozi hapa https://selar.co/m/digitoskool Kununua Ebook Ya PESAGRAM - Njia 50 Za Kutengeneza…

    24 Agosti 2023 · 00:10:28
  63. #57: Kwanini Niliacha Kutumia Tiktok

    Ndani ya Episode hii nimeelezea Kwanini niliacha kutumia Tiktok kwa muda Kusoma Kitabu cha PESAGRAM chenye njia 50 za kutengeneza pesa kwenye Instagram, bofya👇🏼 Ulipie Tsh…

    18 Agosti 2023 · 00:05:37
  64. #56: Njia Za Kunasa Wateja Potential Online

    Ndani ya Episode hii Amani Longishu, ameelezea Njia 4 Za Kunasa Wateja Potential Online Ukiwa unasikiliza episode hii chukua screenshoot na post kwenye Instagram Story yako…

    25 Julai 2023 · 00:04:55
  65. #55: Siri Ya Kujenga Brand Kubwa Mtandaoni

    Ndani ya Episode hii Amani Longishu, ameelezea Siri Ya Kujenga Brand Kubwa Mtandaoni Ukiwa unasikiliza episode hii chukua screenshoot na post kwenye Instagram Story yako kisha…

    18 Julai 2023 · 00:04:48
  66. #54: Njia 5 Za Kucomment ili Kupata Potential Followers Instagram

    Ndani ya Episode hii Amani Longishu, ameelezea Njia 5 Za Kucomment Ili Kupata Potential Followers Instagram Ukiwa unasikiliza episode hii chukua screenshoot na post kwenye Instagram…

    27 Juni 2023 · 00:07:18
  67. #53: Malengo 3 Usiyo Yajua Ya Maudhui Mtandaoni

    Ndani ya Episode hii Amani Longishu, ameelezea Malengo 3 Usiyoyajua ya maudhui ya Mtandaoni mfano Instagram, Tiktok au Youtube Ukiwa unasikiliza episode hii chukua screenshoot na…

    24 Juni 2023 · 00:05:28
  68. #52: Fomula 4 Za Kujenga Jina INSTAGRAM

    Ndani ya Episode hii Amani Longishu, ameelizea Fomula 4 Za Kujenga Jina Instagram Ukiwa unasikiliza episode hii chukua screenshoot na post kwenye Instagram Story yako kisha…

    10 Juni 2023 · 00:08:29
  69. #51: Njia 4 Za Kuwafanya Wateja Waje DM ili Ufunge MAUZO

    Ndani ya Episode hii Amani Longishu, amekupa Njia 4 za kuwafanya wateja waje dm ili ufunge Mauzo Ukiwa unasikiliza episode hii chukua screenshoot na post kwenye…

    3 Juni 2023 · 00:07:57
  70. #50: Maswali 3 Ya Kujiuliza Kabla ya Kupost INSTAGRAM

    Ndani ya Episode hii Coach Amani Longishu, amekupa maswali 3 ya kujiuliza kabla ya Kupost Instagram Ukiwa unasikiliza episode hii chukua screenshoot na post kwenye Instagram…

    31 Mei 2023 · 00:05:18
  71. #49: Sehemu 5 Ya Kupata Idea Ya MAUDHUI Ya Instagram

    Ndani ya Episode hii Coach Amani Longishu, ameelezea sehemu 5 unazoweza kupata idea ya maudhui ya Kupost Instagram Ukiwa unasikiliza episode hii chukua screenshoot na post…

    27 Mei 2023 · 00:10:37
  72. #48: Jifunze Skills Kisha Tengeneza Connection | Ft Eric Baisi

    Kwenye episode hii Eric Baisi kutoka Maje Digital ametoa mwanga kuhusu biashara instagram, ushauri wa wanafunzi wa chuo na je inachukua muda gani kuingiza pesa kupitia…

    30 Aprili 2023 · 00:12:56
  73. #47: Makosa Yanayo Chelewesha Ukuaji Wako Instagram

    Ndani ya episode hii utajifunza makosa 5 yanayo chelewesha ukuaji wako Instagram! Ukiwa unasikiliza episode hii chukua screenshoot na post kwenye Instagram Story yako kisha unitag/mention…

    23 Aprili 2023 · 00:11:01
  74. #46: Jinsi Ya Kupata Kazi Kama Social Media Manager kupitia Social Media | Ft Digital Kendrick

    Je unajua njia za kupata kazi kama Social Media Manager kupitia Social Media Platforms? Ndani ya episode hii Digital Kendrick na mimi tumezungumzia kwa kina njia…

    9 Aprili 2023 · 00:55:10
  75. #45: Nini Kinaufanya Ushuhuda wa Mteja Wako Kuwa Mzuri na Wenye Mashiko?

    Umeshawahi kupokea ushuhuda wa mteja wa bidhaa au huduma yako hadi machozi ya furaha yakatoka? Ndani ya episode hii nimezungumzia nini kinaufanya ushuhuda wa mteja wako…

    31 Mechi 2023 · 00:07:51
  76. #44: Mambo 5 yanayo kunyima Kuaminika Instagram Kama Mfanyabiashara

    Ndani ya episode hii nimezungumzia mambo 5 yanayo kunyima kuaminika Instagram kama Mfanyabiashara! Ukiwa unasikiliza episode hii chukua screenshoot na post kwenye Instagram Story yako kisha…

    27 Mechi 2023 · 00:08:59
  77. #43: Jinsi Ya Kusafisha Page Yako Instagram | Njia 6 Muhimu

    Kwenye episode hii Amani Longishu amezungumzia jinsi ya kusafisha page yako ya Instagram kwa kukupa njia 6 muhimu kuzifuata. Ukiwa unasikiliza episode hii chukua screenshoot na…

    26 Mechi 2023 · 00:10:46
  78. #42: Ukweli Wa Kuujua ili Ufanye Vizuri Biashara Yako Wiki Hii

    Ndani ya episode hii Amani Longishu amezungumzia Ukweli wote unaohitaji kuujua ili ufanye biashara yako kwa uhakika wiki hii. Ukiwa unasikiliza episode hii chukua screenshoot na…

    30 Novemba 2022 · 00:14:07
  79. #41: Jinsi Ya Kuwafanya Waweke Unachouza Kwenye Bajeti Zao Weekend hii

    Kama unahitaji wateja wako waweke unachouza kwenye bajeti zao weekend hii!! Sikiliza kwa makini episode hii ya 41 Ukiwa unasikiliza episode hii chukua screenshoot na post…

    17 Novemba 2022 · 00:07:52
  80. #40: Jinsi Ya Kuwafanya Wanunue Ambacho Hawakupanga Kununua Kwako | Njia 5 Muhimu!

    Je umeshawahi kwenda dukani ukaishia kununua kitu ambacho haukupanga kununua? Kwenye episode hii utajifunza njia 5 za kuwafanya wateja wanunue unachouza bila kuwa na mpango huo…

    8 Novemba 2022 · 00:06:45
  81. #39: Aina 5 Ya WATEJA kwenye Comments na DM yako Instagram

    Kwenye episode hii nimezungumzia Aina 5 ya wateja wanaonapatikana kwenye Comments na DM yako Instagram kwa Wewe mfanyabiashara wa kitanzania Ukiwa unasikiliza episode hii chukua screenshoot…

    23 Septemba 2022 · 00:12:34
  82. #38: Njia 4 Za kujua MAUMIVU YA MTEJA Instagram

    Kwenye episode hii nimezungumzia njia za kujua maaumivu ya mteja wako Instagram, Sikiliza na uchukue dondoo hii uifanyie kazi kwenye biashara yako!! Ukiwa unasikiliza podcast hii…

    25 Agosti 2022 · 00:07:41
  83. #37: Mambo 5 ya kufanya kama Biashara inakua Polepole Mtandaoni

    Msikilize Amani Longishu na uchukue dondoo hii uifanyie kazi kwenye biashara yako!! Ukiwa unasikiliza podcast hii chukua screenshoot na post kwenye instastory yako kisha unitag "mjasiriamalidigital"…

    15 Agosti 2022 · 00:13:35
  84. #36: Vitu vya kuepuka ukiwa unachagua username ya INSTAGRAM

    Katika episode hii ya 36 nimelezezea mambo ya kuepuka ukiwa unaandika username yako ya instagram, na nini cha kuzingatia.Sikiliza uelimike na Amani Longishu Ukiwa unasikiliza chukua…

    20 Julai 2022 · 00:11:12
  85. #35: Sababu 6 kwanini haupati FOLLOWERS wa maana INSTAGRAM

    Katika episode hii nimezungumzia Sababu 6 kwanini haupati wafuasi wa maana Instagram  Ukiwa unasikiliza chukua screenshoot na post kwenye instastory yako kisha unitag @mjasiriamalidigital  Niulize swali…

    6 Juni 2022 · 00:10:23
  86. #34: Aina 5 ya maudhui ya kupost Instagram ili upate WATEJA

    Katika episode hii nimezungumzia Aina 5 ya maudhui ya kupost Instagram ili upate wateja. Ambayo Ni: 1. Maudhui ya kuelimisha 2. Maudhui ya kuhamasisha/ kutoa motisha…

    12 Aprili 2022 · 00:11:30
  87. #33: Ufanye nini utokee kwenye EXPLORE page ya Instagram? | Mambo 5 ya kufanya

    Katika episode hii nimezungumzia mambo 5 ya kufanya ili kutokea na kuonekana kwenye EXPLORE page kwenye mtandao wa Instagram Ambayo Ni: 1. Kujenga mamlaka kwenye kitu…

    26 Mechi 2022 · 00:15:13
  88. #32: Faida 6 ya kupost kila siku Instagram

    Ukihitaji watu wakujue haraka na kukumbuka, ni vizuri kujua umuhimu wa kuchapisha maudhui kila siku kwenye ukurasa wako wa biashara Instagram Katika episode imekupa Faida 6…

    21 Februari 2022 · 00:09:23
  89. #31: Mambo 5 ya kufanya ukishindwa kupost mara kwa mara instagram

    Ni kawaida kwa wafanyabiashara kupoteza muda mwingi kwenye Instagram pindi wanapokuwa hawana maudhui ya kuchapisha kwenye kurasa zao za kibiashara. Katika episode imekupa mambo 5 ya…

    17 Januari 2022 · 00:10:36
  90. #30: Sababu 5 kwanini hawasomi machapisho yako instagram

    Kila mtu anapenda akichapisha kitu instagram, watu wasome na kujumuika na watu walioacha maoni!! Kwahiyo kama ukiona hakuna anayesoma machapisho yako kuna sababu!! Katika episode hii…

    29 Desemba 2021 · 00:10:56
  91. #29: Njia 6 za kuongeza engagement kwenye instagram

    Ili nisikuchanganye engagement ni no of likes, Comments, shares, saves nk. Sasa ili iwe kubwa na yenye kukupa hamasa ya kuendelea kuandaa maudhui, tumia hizo njia…

    6 Novemba 2021 · 00:28:36
  92. #28: Share na fundisha kile unachokijua

    Mambo ya copy na kupaste kwenye mitandao ya kijamii, tupa kule!! Ni muda wa kushare na kusambaza kile unachokijua. Msikilize Amani Longishu kisha muulize swali hapa👇🏿…

    18 Oktoba 2021 · 00:09:06
  93. #27: Njia 4 za kupata mauzo kwa muendelezo

    Unapoona unapata mauzo usiache kuendeleaa kujitangaza ili mauzo yaendelee kuwa endelevu na yasio yake ya kushuka na kupanda. Katika episode hii, Amani Longishu amekupatia njia 4…

    25 Septemba 2021 · 00:12:39
  94. #26: Inachukua muda gani kupata mteja wa kwanza kwenye instagram? - Eric Baisi

    Leo nimepata wasaa mzuri wa kuzungumza na Eric Baisi Mtaalamu wa masuala ya kidigitali kutoka Maje Digital, Kampuni inayojihusisha na kusaidia wafanyabishara wenye uwepo mdogo mtandaoni,…

    16 Septemba 2021 · 00:12:43
  95. #25: Jinsi ya kujenga kujiamini kwenye kamera ili kujenga biashara mtandaoni

    Kama wewe ni mfanyabiashara au mjasiriamali na bado hujaanza kutengeneza video kwaajili ya bidhaa au huduma zako!! Utaendelea kubaki nyuma kwenye mitandao ya kijamii. Katika episode…

    28 Agosti 2021 · 00:08:43
  96. #24: Njia 5 za kujenga uaminifu instagram

    Je unahangaika kujenga uaminifu instagram wewe kama mfanyabiashara kwenye ukurasa wako wa kibiashara? Katika episode hii ya 24 nimezungumzia njia za kujenga uaminifu kwenye instagram. Kumbuka…

    18 Agosti 2021 · 00:07:39
  97. #23: Ufanye nini wakikwambia "nitakutafuta"?

    Kama wewe ni mfanyabiashara hakuna kitu kinauma kama uambiwe nitakutafuta!! Katika episode hii ya 23 nimezungumzia sababu 4 zinazowapelekea wao kufanya hivyo na nini ufanye ili…

    12 Agosti 2021 · 00:08:19
  98. #22: Vichwa vya habari 7 vitakavyowafanya waache kuscroll instagram

    Je umekuwa ukichapisha maudhui na hakuna anayejali na kusoma ulichoandika?. Sikiliza episode ya 22 maneno 7 ya kuweka kwenye kichwa cha habari chako. Kumbuka kushare na…

    31 Julai 2021 · 00:08:10
  99. #21: Fomati 6 ya maudhui ya kuchapisha instagram

    Instagram sio unapost picha tuu!! Kuna fomati Nyingine ya maudhui. Sikiliza episode ya 21 kujifunza fomati zingine za maudhui ya kuchapisha kwenye instagram. Kumbuka kushare na…

    22 Julai 2021 · 00:08:20
  100. #20: Mambo 6 ya kufanya kabla ya kuanza Biashara instagram

    Wengine wameanza biashara naturally yaani maisha yao wamewapelekea kuanza biashara kutokana na vile vitu wanavyopenda kufanya kwenye mitandao ya kijamii. Kwenye Episode hii ya 20 utajifunza…

    6 Julai 2021 · 00:11:52
  101. #19: Viungo 5 vya Caption tamu kwenye Instagram

    Hivi unajua caption tamu imeundwa na vitu gani? Kwenye Episode hii ya 19 utajifunza Viungo 5 usivyovijua ili kufanya Caption iwe Tamu. Sikiliza kisha share na…

    2 Julai 2021 · 00:10:27
  102. #18: Sababu 5 kwanini hautatengeneza pesa instagram (Quick tip)

    Kwenye Episode hii ya 18 nimekupa sababu 5 kwanini unashidwa kuingiza pesa kupitia instagram. Sikiliza kisha share na mfanyabiashara. Niulize swali instagram www.instagram.com/mjasiriamalidigital  Usisahau ku subscribe,…

    27 Juni 2021 · 00:06:37
  103. #17: Nina followers 50k ila sijawahi kutengeneza pesa, nifanyeje?

    Kwenye Episode hii ya 17 nimekupa njia 4 za kuingiza pesa kama una followers 50k na huna biashara au hujui cha kufanya!! Sikiliza kisha share na…

    19 Juni 2021 · 00:14:32
  104. #16: Njia 6 za kupata mauzo bila kutumia sponsored ads

    Je hauna bajeti ya kufanya matangazo ya kulipia? Kwenye Episode hii ya 16 nimezungumzia njia 6 za kupata mauzo bila kutumia sponsored ads!!. Sikiliza kisha share…

    5 Juni 2021 · 00:14:34
  105. #15: Uuzaji wa bidhaa kwenye mitandao ya kijamii umebadilika

    Katika episode hii ya 15 Nimezungumzia jinsi uuzaji wa bidhaa kwenye mitandao ya kijamii ulivyobadika kwa sasa tofauti na miaka 10 nyuma. Sikiliza kisha share na…

    30 Mei 2021 · 00:08:41
  106. #14: Makosa 5 yanayo chelewesha ukuaji wako instagram

    Je umeweka jitihada ila haukui instagram? Katika episode hii ya 14 Nimezungumzia makosa matano(5) yanayochelewesha ukuaji wako instagram. Sikiliza kisha share na mfanyabiashara unayependa afanikiwe na…

    23 Mei 2021 · 00:11:35
  107. #13: Njia 6 za kurudisha passion na hamasa kwenye biashara yako

    Je umepoteza hamasa na pasion ya biashara yako? Katika episode hii ya 13 Nimezungumzia Njia 6 za kurudisha hamasa na passion kwenye biashara yako. Sikiliza kisha…

    11 Aprili 2021 · 00:16:23
  108. #11: Mambo 7 ambayo hawajakwambia kuhusu kuanza biashara

    Je unafikiria kuanza biashara? Ivi unajua kuna mambo hawajakwambia!! Katika episode hii ya 11 Nimezungumzia Mambo 7 ambayo hawajakwambia kuhusu kuanza biashara Sikiliza kisha share na…

    21 Mechi 2021 · 00:16:41
  109. #10: Makosa 4 makubwa network marketers wanafanya kwenye mitandao ya kijamii

    Haya ni makosa ya kuacha ili uweze kufanikiwa kwenye biashara yako ya Network Marketing, Nitumie ujumbe instagram "mjasiriamalidigital" ili kuanza kozi ya kugeuza followers wako kuwa…

    27 Februari 2021 · 00:26:38
  110. #9: Njia tano(5) za kutawala instagram 2021

    Katika epidose hii ya tisa(9) kwenye Mjasiriamali Digital Podcast, Amani Longishu nimeelezea njia 5 za kutumia au kufuata ili kutawala ( kuwa mwenye power na ushawishi)…

    15 Februari 2021 · 00:19:09
  111. #8: Jinsi ya kupata comments nyingi kwenye instagram

    Katika episode hii kwenye Mjasiriamali Digital Podcast, ikiongozwa na Amani Longishu. Nimeelezea njia saba(7) ya kupata maoni mengi kwenye chapisho lako instagram. Sikiliza na Share na…

    1 Februari 2021 · 00:16:11
  112. #7: Aina 8 ya video za kibiashara za kupost instagram 2021

    Je unafikiria upost video zipi ukuze biashara yako na kuongeza mauzo! Tumia aina hizo zitakusaidiaa sana. Kwama unaswali nitumie ujumbe instagram Mjasiriamali Digital.

    16 Januari 2021 · 00:17:25
  113. #6: Sababu kubwa kwanini hawapendi maudhui(content) yako instagram na nini cha kufanya

    Katika Episode hii nimezungumzia kwanini watu hawalike au kuacha comment kwenye machapisho yako kwenye akaunti yako ya kibiashara. Sikiliza na Share na Mwenzako.

    27 Desemba 2020 · 00:08:32
  114. #5: Mambo ya kufanya ili usipoteze followers(wafuasi) wako kwenye instagram

    Katika Episode hii ya tano(5) kwenye Mjasiriamali Digital Podcast nimeelezea mambo 6 ya kufanya ili followers wako waendelee kubaki kwenye akaunti yako, Sikiliza na Share na…

    14 Desemba 2020 · 00:19:30
  115. #4: Sababu tatu(3) kwanini hawanunui bidhaa yako instagram na nini cha kufanya

    Katika Episode hii nimekupa sababu 3 kwanini followers au watu hawanunui bidhaa yako huko instagram na ufanye nini ili kupata mabadiliko. Sikiliza, Jifunze na Share na…

    29 Novemba 2020 · 00:10:01
  116. #3: Mambo 7 yanayo wafukuza wateja walengwa instagram

    Ni muda wa kubadilika sasa leo nimezungumzia mambo 7 ya kuyaacha ili usiendelee kupoteza wateja wako instagram. Sikiliza, Jifunze na share na mwingine.

    22 Novemba 2020 · 00:16:27
  117. #2: Jinsi ya kugeuza instagram akaunti yako kuwa sumaku ya biashara yako

    Katika Episode ya pili ya Mjasiriamali Digital podcast nimeelezea njia sita(6) za kufuata ilia kugeuza instagram yako kuwa sumaku ya biashara yako. Sikiliza Ujifunze.

    13 Novemba 2020 · 00:16:33
  118. #1: Jinsi ya Kutambulisha biashara yako instagram

    Katika Episode hii ya 1 kwenye Mjasiriamali Digital Podcast nimezungumzia njia 11 za kutambulisha bishara yako instagram. Sikiliza ujifunze.

    4 Novemba 2020 · 00:21:15