Masomo ya bure ya Kiswahili kuhusu sponsored ads, mauzo mtandaoni na kukuza biashara yako kupitia mitandao ya kijamii.
Cheza video zote kwa mfuatano, na uchague yoyote kwenye orodha ya player.
Wanapenda kununua panakosifiwa
Acha Tabia Ya Kumpotezea Mteja Wako baada ya Kulipia Bidhaa
Usipoandika Bei Unafukuza Wateja
Majivuno Yanafukuza Wateja
Post Kila Siku Online
Jibu Comments Na Dms + Ingia Live
Acha Comments Kwenye Page Zingine
Andika Bei Kwenye Caption
Wapostie Shuhuda Utauza Online
Jiweke Kama Mtaalam Utauza Online
Anza Kuacha Comments Kwenye Page Nyingine
Andika Bei Mstari Wa Kwanza Kwenye Caption
Tengeneza Highlights instagram
Je Utumia Logo au Sura yako Instagram Profile? #amanilongishu
Acha Kutumia Username Ndefu Sanaa #amanilongishuJiunge na kozi ya Uza Deilee upate masomo ya video hatua kwa hatua na msaada wangu moja kwa moja.