Jifunze kurusha sponsored ads mwenyewe kupitia kozi, tujifunze ana kwa ana ofisini kwangu, au nikurushie matangazo ya Meta kwa niaba yako. Chagua njia inayoendana na muda na bajeti yako.
Kozi ya video kwa Kiswahili inayokufundisha hatua kwa hatua kurusha sponsored ads na kuuza kila siku. Unajifunza kwa kasi yako, popote ulipo.
Inamfaa: anayetaka kujifunza mwenyewe kwa gharama nafuu.
TZS 60,000
Session ya masaa 2 ana kwa ana ofisini kwangu Mwenge. Unakuja na simu yako na akaunti zako za biashara, na tunarusha matangazo pamoja.
Inamfaa: anayetaka kuelekezwa ana kwa ana na kupata majibu papo hapo.
TZS 150,000
Huduma ya kila mwezi kwa mfanyabiashara aliye busy na safari. Narusha na kusimamia matangazo yako ya Instagram na Facebook, wewe unabaki kufunga oda.
Inamfaa: mfanyabiashara asiye na muda wa kusimamia matangazo mwenyewe.
Kuanzia TZS 350,000
Kama una muda wa kujifunza, anza na kozi. Kama unataka mtu akuelekeze ukiwa na simu yako, chagua session ya ana kwa ana. Kama huna muda kabisa, chagua Sponsored Ads Management.
Hapana. Bei ni ya kozi, session au huduma. Bajeti ya matangazo unaipanga mwenyewe na inalipwa Meta au TikTok moja kwa moja.
Kupitia Lipa Namba ya M-Pesa 353574117 au Lipa ya NMB 12405060, jina OPTIZA DIGITAL. Kisha unatuma uthibitisho WhatsApp.
Mwenge, Dar es Salaam, karibu na Kilimanjaro Institute. Njoo kwa appointment tu.
Niandikie WhatsApp unieleze biashara yako, nitakushauri njia inayokufaa.