Huduma ya kila mwezi kwa mfanyabiashara asiye na muda. Mimi narusha na kusimamia matangazo yako ya Instagram na Facebook, wewe unabaki kufunga oda za wateja.
Huduma hii ni ya matangazo ya Meta pekee: Instagram na Facebook.
Unataka matangazo ya TikTok au WhatsApp. Huduma hii ni ya Meta pekee.
Unataka kujifunza kurusha matangazo mwenyewe. Chukua kozi ya Uza Deilee au weka session ya ana kwa ana.
Niandikie WhatsApp unieleze biashara yako na malengo yako.
Tunapanga bajeti ya matangazo na bei ya huduma, kuanzia TZS 350,000.
Nakuwekea matangazo hewani na kuyasimamia kila mwezi, wewe unafunga oda.
Niandikie WhatsApp unieleze biashara yako. Nitakujibu na kukupa mpango unaokufaa.
Bei ya huduma ni kuanzia TZS 350,000. Kiasi kamili kinategemea ukubwa wa kazi ya matangazo yako, na tunakubaliana kabla ya kuanza.
Hapana. Huduma hii ni ya matangazo ya Meta pekee: Instagram na Facebook.
Hapana. Bei ya huduma ni kuanzia TZS 350,000. Bajeti ya matangazo ni tofauti na inalipwa Meta moja kwa moja. Tunakubaliana vyote kabla ya kuanza.
Hapana. Ndiyo maana ya huduma hii. Unahitaji tu kujibu wateja wanaokuja WhatsApp au DM.
Ni huduma ya kila mwezi. Tunaendelea kadri matangazo yanavyokuletea wateja.
Niandikie WhatsApp unieleze biashara yako. Nitakujibu na kukupa mpango unaokufaa.